Historia Fupi kuhusu Gaborane United Mpinzani wa Simba kweny CafCl
Gaborane United (Moyagoleele, The Reds au Money Machine) haya ni majina ya utani
Hii timu ilianzishwa mwaka 1967 katika mji wa Gaborone
🏟️ Uwanja wao unaitwa Gaborane United Stadium
Mafanikio
-Botswana PL X8 mara ya mwisho ni msimu wa 2024-25🔥
-Botswana FA Challenge Cup X9 mara ya mwisho mwaka 2023
-Botswana Independence Cup X8
Mascom Top 8 Cup X2
USHIRIKI KIMATAIFA
-CafCl X2 2010 wakiishia Round ya pili na 2022/23 wakiishia round ya awali
-Caf Confederation Cup X1 mwaka 2010 waliishia hatua ya 16 bora🔥
-Caf Cup X2 mwaka 1994 Round ya kwanza na mwaka 1998 walijitoa wenyewe round hyo hyo ya kwanza
Na hawa ndio Gaborane United The Money Machine sema ndio hvy
o hawana bahati 😋
