KOCHA WA ITALIA AIWEKA MATATANI AFRIKA

 KOCHA WA ITALIA AOMBA AFRIKA IPUNGUZIWE NAFASI YA TIMU KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUTOFUZU..

 

Baada ya Italia kushindwa kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya Kombe la dunia 2026, kocha wao mkuu, Gennaro Gatusso.


Amependekeza bara la Afrika lipunguziwe idadi ya timu kama ilivyokuwa kabla, na kisha nafasi hiyo apewe mshinde bora wa Ulaya kufuzu moja kwa moja bila kupitia hatua ya mchujo wa mtoano (Play off).


"Mwaka 1994 kulikuwa na mataifa mawili tu ya Afrika kwenye michuano ya Kombe la Dunia, sasa zipo nane.


Enzi zangu wakati nacheza mshinde bora wa bara Ulaya (best looser) alifuzu moja kwa



-Gattuso, kocha mkuu wa Italia.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items