🚨🇨🇲 𝐄𝐗𝐂𝐋: Che Malone anakaribia kuondoka Simba SC!
Kama ilivyofichuliwa Julai 10, USM Alger wamefikia makubaliano kamili ya kumsajili beki huyo wa Cameroon. ✅
Malone anatarajiwa kuwasiri nchini Algeria siku ya Jumatano kwa ajili ya Vipimo.✈️
Hadithi ya kipekee - uthibitisho unakaribia