Home KIBU NAYE WANAMTAKA Posted byDomi bulugu -July 19, 2025 0 KLABU ya MC Alger imewasilisha ombi rasmi la kutaka kumsajili Kibu Denis kutoka Simba SC. 🇩🇿🇹🇿 Miamba hao wa Tanzania wanatarajiwa kuchukua muda wao kutathmini ofa hiyo kabla ya kufanya uamuzi Facebook Twitter