🎙️ “Napenda kucheza kama namba 10 lakini kwa sasa nataka tu kucheza. Nafasi niliyo nayo uwanjani si muhimu sana, nataka tu kuwa uwanjani na kusaidia timu kushinda"
"Kadri malengo yanavyokuwa ya juu, ndivyo unavyohisi kuwa na wajibu wa kuweka viwango vya juu na kufanya kazi kwa bidii ili kuyafikia. Kwa hiyo, sina mipaka. Ninafuata mpango wangu, na natumai kufanikisha malengo yangu siku moja. Nadhani niko tayari”
