Timu ya Taifa ya Uingereza🏴 iliweza kujikatia Tiketi ya kwenda Fainali ya Euro ya kina Dada baada ya kuwazidi maarifa Uswidi🇸🇪 ambao walionekana bora baada ya kipindi cha kwanza!
Baada ya 45 za kwanza, Uswidi walikuwa wakiongoza 2-0 ila kwenye kipindi cha pili, Lucy Bronze wa Chelsea na Agyemang wa Brighton wakabadilisha kibamba!
✅🇸🇪𝗨𝘀𝘄𝗶𝗱𝗶/𝗦𝘄𝗲𝗱𝗲𝗻
K. Asllani 2'
S. Blackstenius 25'
✅🏴𝗨𝗶𝗻𝗴𝗲𝗿𝗲𝘇𝗮/𝗘𝗻𝗴𝗹𝗮𝗻𝗱
L. Bronze 79'
M. Agyemang 81
Muda wa kawaida uliokamilika, nguma 2-2!...ikabidi maamuzi yafanywe kupitia mikwaju ya Penalti na hapa ndipo Uingereza walipowazidi Uswidi maarifa.
𝗨𝘀𝘄𝗶𝗱𝗶🇸🇪 2-3 🏴𝗨𝗶𝗻𝗴𝗲𝗿𝗲𝘇𝗮
