Its yo Daddy @countrywizzy_tz ana ujumbe kwa wasanii wa Rap kuwataka watoe Hits Song na waache sifa zisizo na pesa.
"Wasanii wa ku-Rap toeni Hit Song, masifasifa yasiyo na Ela achana nayo" - Ameandika Country Wizzy
Country Wizzy ni nominee wa tuzo ya EAEA Tanzania katika vipengele vya Best Rap/HipHop Music video, Best Rap/HipHop Collaboration na Best Bongo Rap Fusion Hit.
