KIBURI CHA PESA CHAMPONZA MBAPPE

 


💰🚔🇫🇷Kylian Mbappé anaripotiwa kulipa Euro 180,000 kwa maafisa watano wa Polisi waliokuwa wakilinda timu ya taifa ya Ufaransa mwaka 2023.


Maafisa hao wa polisi sasa wanachunguzwa na IGPN (kitengo maalum cha uchunguzi wa polisi).


(🗞️ RMC Sport) 


Sheria ya Ufaransa inapinga mambo ya kuwalipa Maafisa wa Polisi ili wakupatie Ulinzi Binafsi


Aidha, hata alipokuja barani Afrika(Cameroon), Mbappe anakabiliwa na mashtka ya kuwabeba maafisa hao kwenye safari hiyo.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items